Male participant, Chiwerere, Lindi District
Image by Hunger and Nutrition Commitment Index
"Mimi nachoelewa kuhusiana na utapiamloo ni lishe duni, chakula haba, kwa upande wangu mimi nawapa watoto wangu chakula kizuri, kwanza mke wangu toka akiwa na mimba alikuwa anakula chakula bora kilichokuwa kimeagizwa na wataalamu alafu pili, huwa tunaambiwa tuwatengenezee watoto uji wa ulezi kwa hiyo mtoto mda wote anakunywa uji wa ulezi, elimu tunayo kidogo lakini tatizo kubwa ni njaa, ardhi tunayo sema tunalima kizamani, maafisa kilimo wapo sema hawafanyi kazi wanakaa ofisini tu hawawatembelei wanakijiji, naitaka serikali iwaangalie wananchi wake jinsi walivyo, wasikae maofisini watembelee vijijini wachukue shida za wananchi waelewe kila kijiji kina matatizo gani".
“From what I understand on malnutrition it is related to insufficient foods, on my side I give my children better food, firstly during the pregnancy of my wife through the growth of our children. We have a little education but the main problem is hunger, we have the land but we use old ways of cultivation. Agricultural officers are there but they do not play their part. I plead of the government to look how their citizens are, don’t just stay in offices, visit villages to know the village and its problems.”
Photo PANITA/ Save the Children Tanzania